Title: Mafunzo kuhusu ufugaji endelevu katika Wilaya ya Kaskazini A Unguja Kaskazini Zanzibar
By Getrude Sombe, Member of Environment Sector sector. Posted this report on 2023-07-01 14:12:20
Othuman Mambo Afisa Mifugo akieleza mamna mafunzo ya ufugajo endelevu yalivyosaidia kutunza mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi katika Wilaya ya Kaskazini A Zanzibar